Genesis 8:6-8

6Baada ya siku arobaini Noa akafungua dirisha alilokuwa amelifanya katika safina 7 ana akamtoa kunguru, akawa akiruka kwenda na kurudi mpaka maji yalipokwisha kukauka juu ya nchi. 8 bKisha akamtoa hua ili aone kama maji yameondoka juu ya uso wa ardhi.
Copyright information for SwhNEN